Chagua Lugha Uhipendayo

February 05, 2014

USIYOYAJUA KUHUSU NEY WA MITEGO HAYA HAPA

Ney wa mitego ni mmoja wa wasani wanaokubalika sana hapa Tz kwa kutokea ku-change game zima la hihop,toka ujio wake akiwa bado msanii mchanga,aliweza kukua kwa kasi sana na baadhi ya nyimbo zilizomfanya azidi kukaa muda mrefu kwenye media za hapa bongo,zikiwa ni pamoja na muziki gani aliomshirikisha diamond,salamu zao ambao ni moja ya wimbo uliomfanya kwa asilimia fulani ku-bost popularity yake na hivi sasa anatesa na hit single “nakula ujana” na kuzidi ku-make headlines katika media zakutosha tu Tz,kama ulikuwa hufahamu haya ni yale tu baadhi ya mambo ambayo ulikuwa uyafahamu kuhusu msanii huyu wa hiphop.
 

-Katika nyimbo zake zote alizowahi kutoa,”salamu zao

September 05, 2013

HII NDIYO MOJA YA MESEJI YA VITISHO ALIYO TUMIWA NAY WA MITEGO, ADAI KUTUMIWA NA WATU WALIOKUWA KATIKA KAMATI YA MAZISHI YA NGWAIR

 

Baada ya kuachia wimbo wake wa Salamu zao Nay Wa Mitego amedai kuwa ameanza kupokea vitisho kutoka kwa watu mbali mbali hasa wale waliokuwa kwenye maandalizi ya mazishi ya marehemu Ngwair hayo ameyasema kupitia akaunti yake ya Instagram nay pia amewashauri wale waliojitajilisha kupitia msiba wa ngwair kurudisha pesa hizo kwenye familia ya marehemu ikibidi hata kimya kimya hii ni moja ya meseji aliyotumiwa Nay
pia alimalizia kwa komennti hii “Zipo nyingi zingine za vitisho nitazipost zote watu wangu mjue leo nimeanza na hiyo ..!! ukweli unauma sana cogopi vitisho vyenu ,, Pelekeni hela kwa ndugu wa marehem bado nafasi mnayo ata kimya kimya,, mi nikifa siihitaji kamati za kisenge kwenye msiba wangu,, maana watu wanafanya micba ye2 mitaji yao …!! #966”


August 29, 2013

Ukisikia Paah Ujue Imekukosa Ila ukisikia Maumivu ujue Imekupata!

Mkono wa kushoto wa Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ uliopasuliwa kwa chupa.
MWIGIZAJI levo ya juu katika sinema za Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi, Risasi Mchanganyiko lina ishu nzima.

Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto.

Watu walioshuhudia tukio hilo waliliambia gazeti hili kuwa, wakati Yvonne anatekeleza ukatili huo,…







Video ya Diamond ya Afrika kusini kuzinduliwa Ndani ya Serena Hotel


Ni mazoea ambayo watu wake wamekua nayo kwamba akiwa na tukio kama hili basi ni lazima atalifanya kwenye mojawapo ya club za usiku Dar es salaam kama alivyokua akifanya mara nyingi lakini this time staa huyu anaelipwa ghali zaidi kwenye show zake ambae pia siku zake za kupumzika mara nyingi ni jumatatu au jumanne ameenda kwenye levo nyingine.

Diamond Platnumz kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya kifahari Dar es salaam… Serena.

Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond…

"Baraka au Laana" Yamrudisha tena GK Baada ya ukimya wa miaka 6

Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview, leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY, Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na kudondosha single mpya "Baraka au Laana" aliyomshirikisha Yuzo.
"Baraka au laana ni swali ambalo nimewaachai watanzania wajiulize, ni baraka au ni laana uzaliwa Afrika, unajua kitaka kujua kile anachokiwaza mwingine muulize swali, akianza kufunguka ndio utajua anawaza nini juu ya ulichomuuliza, so hili ni swali kwa Watanzania. tumekuwa tukiskia watu wakisema bora kuzaliwa paka Ulaya kuliko kuzaliwa binaadam Afrika, kwasababu kule wanyama wanatimiziwa haki zao kuliko sisi huku, sasa tujiulize is it true..amesema GK."


August 22, 2013

MADAM RITA KUMFUNGULIA KESI NEY WA MITEGO KUTOKANA NA NYIMBO YA SALAM ZAO




Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji, Je Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea.

Juma Nature kamleta "Dogo" haina kuchoma mhindi kwa tochi


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdHdvhEnMwTp4ONtIscCMhPqBl8Sye1mx_VaWLnItefafK6Y2SrZnbstkOPOA2qxVpmrD9jZhm7lGRG38DiNr8viur053Yozk0KQGy3EOetTnSDLtkRS7tRT_KYR8pVh8JifRpzKCAWBs/s400/juma-nature-3.jpg
Juma kassim Kiroboto a.k.a Juma Nature is back again kwenye industry ya muziki na ameachia single  "Dogo" iliyofanyika studio za Halisi  "Halisi Records".

Dogo ni ngoma inayomungumzia mtoto, yaani malezi unayomlea nayo ndivyo atakavuokuwa ndio maana ukisiliza chorus utaskia mtoto anamsalimia mkubwa, anaitikiwa, halafu anaomba hela, akiambiwa hakuna anamtukana na kumkejeli.." amesema Nature.

Kuhusu ndala za halisi alizotuahidi: "Ndala zipo sema kuna kitu kidogo tu tunasubiri kikamilike, ambayo ni logo, yaani ile logo ikikamilika tu mzikgo unaingia sokoni"..

Kuhusu wasanii wa hiphop anaowakubali:  "mimi namkubali sana Prof Jay na Fid Q, nakubali sana kazi zao."